DOGO JANJA NA TUNDA SIRI YAO YAFICHUKA HAKUNA NDOA
Dogo Janja kwa Tunda “Hatuna shughuli za maana za kufanya”
By
on
March 14, 2018
Kumbukumbu ni hali ambayo mtu huweka au uhifadhi kitu au jambo fulani na baadae wengi hutumia kumbukumbu hizo kuwaonyesha watu kile ambacho walikifanya miaka ya nyuma ikiwa katika mfumo wa picha au video.
Kupitia mtandao wa instagram wa video vixen maarufu nchini Tunda amepost picha ya miaka ya nyuma ambapo alikuwa na msanii waBongofleva Dogo Janja na marafiki zake wengine na hivyo kutaka kujua kwanini hawafanyi vitu ambavyo walikuwa wakifanya miaka ya nyuma.
“Bonge moja la tbt😆😆@dogojanjatz @youngkillermsodokii@ iceboyofficial @bianca_mimi kwanini hamna tena izi trip za kupitiana kwenda kuogelea😭😭“
Dogo Janja kwa wanaokosoa idea ya kujitumia kama video vixen
Lebo: BURUDANI
Maoni 0:
Chapisha Maoni
Jisajili kwenye Chapisha Maoni [Atom]
<< Nyumbani