Ijumaa, 30 Agosti 2024

MWIZI AKAMATWA

 kijana mdogo ajulikanaye kwa jina la Nudrini, anaye kadiliwa kuwa na mika 13 hadi 15 ni mkazi wa Mwaya mipirani.

Amekamatwa Leo mang'ula "A*  kitongoji cha njokamoni, kwa uwizi wa kuiba simu ya mkononi ya batani au kiswaswadu  kwenye nyumba ya izack ajulikanaye kama fundi mafriji, fundi alikua chumbani kwake huku simu yake aliicha sebuleni na pia mlango wake wa nje hakuufunga ulikua wazi, ndipo huyo mtoto alipo ingia ndani sebuleni na kuiba simu hiyo. 

Alhamisi, 11 Januari 2024

ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA

Elimu ni ufunguo wa maisha
Elimu ni ufunguo wa maisha


ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA



Elimu ni ufunguo wa maisha

Jumapili, 7 Januari 2024

DJ.GODY MAROTA



habari zenu ndugu zangu, natumaini kuwa ni wazima wa afya njema kabisa. nimeleta habari hii njema kwenu kwa wadau was music, habari msalim na taarifa mbambali, Kama wewe ni msanii wa Sanaa yoyote unakazi yako unataka kuisambaza mtandaoni ili ijulikane na iwafikie watu kwa haraka, pia Kama una matangazo, habari maalum na taarifa mbalimbali leta hapa kwangu nami nitaisambaza.
namba yangu whatsapp 0714600970

Jumamosi, 6 Januari 2024

DIWANI SONGO DANIEL KISAWASAWA

Salaam mpenda maendeleo kata ya kisawasawa mimi diwani songo nimepewa shehena ya mawe kwa ajiri ya kata ya kisawasawa la na watu wake  kufanya marekebisho sehemu zote korofi kama pale kachechema, daraja la kanolo na sehemu nyingine nimepewa mawe takribani miezi miwili sasa napigiwa simu mawe yale waliyoniwekea yamekuwa kero hahahaha sasa tunafanyaje ?je ni kweli sisi wa kuyaacha mawe kwa kero za maeneo yetu nikupongeze katwela kuanza kuchangisha 500 kwa kila mwananchi niombe ukiguswa na jambo hili peleka pesa kwa katwela tuunganishe ichonde na kisawasawa@diwani songo daniel

Ijumaa, 4 Agosti 2023

TANGAZO KWA WAKULIMA WA MPUNGA

​ndugu wakulima wote wa kilimo cha mpunga., mnatangaziwa kuwa tuweni makani na mzao yetu ta mpunga, tudidanganyike na mlipuko wa bei katika mazao, huu no mwaka 2923 no mwaka wenye njaa sana . Kwaiyo tunashauriwa tuyatunze mazao kwa ajiili  ya mwakani 2924.


Jumapili, 3 Novemba 2019

KOMEDY VUNJA MBAVU NA ANKO ZUMO

           

                                                                   DOWNLOAD