Ijumaa, 30 Agosti 2024

MWIZI AKAMATWA

 kijana mdogo ajulikanaye kwa jina la Nudrini, anaye kadiliwa kuwa na mika 13 hadi 15 ni mkazi wa Mwaya mipirani.

Amekamatwa Leo mang'ula "A*  kitongoji cha njokamoni, kwa uwizi wa kuiba simu ya mkononi ya batani au kiswaswadu  kwenye nyumba ya izack ajulikanaye kama fundi mafriji, fundi alikua chumbani kwake huku simu yake aliicha sebuleni na pia mlango wake wa nje hakuufunga ulikua wazi, ndipo huyo mtoto alipo ingia ndani sebuleni na kuiba simu hiyo. 

Maoni 0:

Chapisha Maoni

Jisajili kwenye Chapisha Maoni [Atom]

<< Nyumbani