DJ GODY MAROTA
Alhamisi, 11 Januari 2024
Jumapili, 7 Januari 2024
DJ.GODY MAROTA
habari zenu ndugu zangu, natumaini kuwa ni wazima wa afya njema kabisa. nimeleta habari hii njema kwenu kwa wadau was music, habari msalim na taarifa mbambali, Kama wewe ni msanii wa Sanaa yoyote unakazi yako unataka kuisambaza mtandaoni ili ijulikane na iwafikie watu kwa haraka, pia Kama una matangazo, habari maalum na taarifa mbalimbali leta hapa kwangu nami nitaisambaza.
namba yangu whatsapp 0714600970
Jumamosi, 6 Januari 2024
DIWANI SONGO DANIEL KISAWASAWA
Salaam mpenda maendeleo kata ya kisawasawa mimi diwani songo nimepewa shehena ya mawe kwa ajiri ya kata ya kisawasawa la na watu wake kufanya marekebisho sehemu zote korofi kama pale kachechema, daraja la kanolo na sehemu nyingine nimepewa mawe takribani miezi miwili sasa napigiwa simu mawe yale waliyoniwekea yamekuwa kero hahahaha sasa tunafanyaje ?je ni kweli sisi wa kuyaacha mawe kwa kero za maeneo yetu nikupongeze katwela kuanza kuchangisha 500 kwa kila mwananchi niombe ukiguswa na jambo hili peleka pesa kwa katwela tuunganishe ichonde na kisawasawa@diwani songo daniel